Katika maeneo ya Mkwajuni Kinondoni baadhi ya wananchi wamefunga barabara wanachoma matairi kwa kile wanachodai kupinga bomoa bomoa Askari wako eneo la tukio wakijaribu kuwazuia kufanya matukio hayo na hakuna magari yanayoweza kupita eneo hilo kutokana na vurugu zilizoababisha kufungwa kwa barabara hiyo ya kutoka Moroco kwenda Magomeni.
Comments