Monday, January 04, 2016

BASI LA LUWINZO LAPATA AJALI LAGONGANA NA LORI


TUTAZIDI KUPEANA TAARIFA ZAIDI KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZIKIPATIKANA.
 Baadhi ya Abiri na Wasamalia wema wakisaidia kuwaokoa baadhi ya abria waliokuwa wamenasa ndani ya basi hilo.
 Baadhi ya abiria wakiwa kwenye masikitiko makubwa.
 Kazi ya kuokoa baadhi ya abiria ikiendelea  
Namna basi hilo lilivyogonga Lori kwa nyuma.
Post a Comment