Wednesday, December 09, 2015

MATUKIO YA PICHA ZA USAFI SIKU YA UHURU KUTOKA OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI YA AJIRA

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi (katikati) akiwaongoza watumishi wa ofisi yake Kufanya usafi eneo la Maktaba Kuu ya Taifa ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania.Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakiwa katika Picha ya pamoja baada ya kumaliza zoezi la usafi katika eneo la Maktaba kuu ya Taifa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania. 
Sehemu ya Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wakishiriki katika zoezi la usafi kuadhimisha siku ya Uhuru.
Post a Comment