Monday, October 12, 2015

DK MAGUFULI AUWASHA MOTO NACHINGWEA

Wana CCM wakipeperusha picha  na mabango yenye ujumbe wakati Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli alipowasili asubuhi hii katika jimbo la Nachingwea Mkoani Lindi kwaajili ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka huu.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akipewa maelekezo mda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa kampeni kuanza leo asubuhi  mkoani Lindi
 Mgombea wa zamani wa Ubunge Jimbo la Nachingwea akimnadi Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli mapema asubuhi kwenye uwanja wa Sokoine mjini Nachingwea, Magufuli ameanza kampeni zake mara baada mapumziko ya siku mbili.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika viwanja vya Sokoine asubuhi hii.
Wananchi wa Nachingwea mkoani Lindi wakimshanangilia Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli wakati akihutubia wananchi katika viwanja vya Sokoine leo asubuhi hii.
Post a Comment