Monday, October 12, 2015

MWIGULU NCHEMBA AKIOMBA KURA MKOA WA SIMIYU

Hisia za Mwananchi katika maandishi “Magufuli Chaguo la Mungu”.
MwanaCCM akionesha kipeperushi cha Magufuli na Mama Samia Suluhu kuwa ndio Uongozi unaokwenda Kuchaguliwa na Watanzania.
Wananchi wapo tayari kuchagua CCM kwa nafasi zote tatu (Udiwani,Ubunge na Urais).
Mwigulu Nchemba akiondoka Jimbo la Maswa Mashariki kumnadi Ndg.Nyongo mbunge mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi.
“CCM mambo yapo Poaaaa!!!”
Post a Comment