Thursday, October 08, 2015

MAMA SAMIA ASHAMBULIA KWA KAMPENI BAADHI YA MAJIMBO MKOANI MWANZA LEO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa, jimbo la Magu mkoani Mwanza
 Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu, leo katika eneo la Sumve mkoani Mwanza.
 Mwananchi akiwa na bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Kisasa, jimbo la Magu mkoani Mwanza
 MAAJABU: Mbwa aliyekuwa katikakati ya wananchi akipiga push Up 'kumuiga' Mgombea  Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza, Mama samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa, jimbo la Magu mkoani Mwanza
 Msanii wa Bongo Movie anayeunda kundi la Mama Ongea na Mwanao la kupiga kampeni za CCM, Wema Sepetu, akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Magu, Kiswaga Destery katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Kisesa mkoani Mwanza , leo.
 Wagombea Udiwani jimbo la Magu, wakiwasalimia wananchi walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika eneo la Kisesa mkoani Mwanza.


Post a Comment