Sunday, October 04, 2015

MZEE KINGUNGE AACHANA NA CCM


Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.
Mwanasiasa mkongwe nchini ambaye ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngombale Mwiru hivi punde wakati akiongea na wanahabari jijini Dar ametangaza kuachana na chama hicho maana kimeshindwa kuheshimu katiba yake, asema hajiungi na chama chochote ila yupo upande wa mabadiliko.

No comments:

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AMWAKILISHA WAZIRI WA FEDHA KATIKA KONGAMANO LA 16 LA MWAKA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI – ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mhandisi Mshamu Ali Munde, amemwakilisha Waziri wa Fedha katika ufunguzi wa Kongamano la 16 la Mwaka la Wa...