Wednesday, October 07, 2015

MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI ARUSHA

????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi katika
mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya
Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.Oktoba 6, 2015.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-ARUSHA)
unnamedCunnamedAUmati wa wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao Oktoba 6, 2015.

No comments:

KIPANGULA: WAHITIMU WA HABARI WATAFAIDIKA NA MABORESHO YA KANUNI

  Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi ...