Thursday, October 08, 2015

DKT FENELLA MUKANGARA AHAIDI KUJENGA CHUO CHA UFUNDI JIMBO LA KIBAMBA.


1
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Dkt Fenella Mukangara (katikati) akilakiwa na umati wa wakazi wamaramba mawili kata ya msigani alipokuwa akiendelea na kampeni katika jimbo la kibamba.
2
Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Dkt Fenella Mukangara (wa pili kutoka kushoto) akifurahia jambo na mgombea udiwani kwa tiketi ya cha mahicho Bw.Siraju Hassan mwasha walipokuwa katika mkutano wa kampeni marimba mawili kata yamsigani.
3
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Dkt Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa marimba mawili kata ya msigani wakati alipokuwa akinadi sera za chama chake.Dkt Fenella aliwaahidi wakazi hao kuwa wakimchagua ataboresha miundombinu,maji ,afya,elimu kwa kujenga chuo cha ufundi na mikopo kwa vijana ikiwemo wabodaboda ambapo watapata bima,elimu ya barabarani namikopo.
5
kijana aliyetoka CHADEMA akirudisha kadi na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM) na kupokelewa na mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi dkt Fenella Mukangara baada ya kuvutiwa na sera za chama hicho kwani wagombea wake niwaadilifu,wachapakazi na wenye kupenda maendeleo.
4
Umati wawananchi wa msigani,marimba mawili wakiwa makini kusikiliza sera za mgombea ubunge kwatiketi ya chama cha mapinduzi Dkt Fenella mukangara (hayupopichani) wakati wa mkutano wakampeni za chama cha mapinduzi (CCM).
Na Mpiga picha wetu.
Post a Comment