Wednesday, January 14, 2015

TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KUMI WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA NCHINI UGANDA

unnamedWashiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mambo yanayoendelea katika Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Prof. Innocent Ngalinda, katikati ni Meneja wa Takwimu za Kilimo Titus Mwisomba kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Prof. Milline Mbonile.unnamed1Washiriki wengine kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mambo yanayoendelea katika Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda.  Kushoto ni Meneja wa Sensa ya Watu na Makazi Irenius Ruyobya akifuatiwa na Dkt. Camilius Kasalla kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika.
unnamed3Waziri Mkuu wa Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akimpongeza Mwandishi wa Kitabu cha Mapinduzi ya Takwimu Afrika Prof. Ben Kiregyera baada ya kukizindua kwenye Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Ugandaunnamed4. Waziri Mkuu wa Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akiwahutubia washiriki mbalimbali kutoka barani Afrika (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. (PICHA NA VERONICA KAZIMOTO – KAMPALA)

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...