Wednesday, January 14, 2015

KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI KUU YA CCM CHAFANYIKA KISIWANDUI ZANZIBAR

1Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha akawaida cha Kamati kuu kinachofanyika jana mjini Zanzibar na kuhudhuria na wajumbe mbalimbali. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE -ZANZIBAR)2Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Naibu  Katibu mkuu Zanzibar Mh. Vuai Ali Vuai baada ya kuwasili kwenye ofisi kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kikao cha Kamati Kuu katikati ni  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana3Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM Mjini Zanzibar Kushoto ni Dr. Ali Mohamed Shein Makamu Mwenyekiti Zanzibar  na kukia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana tangaza wajumbe waliohudhuria katika kikao hicho na kueleza kwa wale walioto udhuru wa sababu ya kutokuwepo katika kikoa hicho.8Wajumbe wa Kamti Kuu kulia ni Dr. Emmanuel Nchimbi na kushoto ni William Lukuvi wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao hicho.7Baadhi ya wajumbe wakisubiri kufunguliwa kwa kikao hicho.6Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM kutoka kulia ni Mh. Pandu Kificho, Anne makinda, Mwigulu Nchemba Naibu Katibu Mkuu bara na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar  Vuai Ali Vuai wakiwa katika kikao hicho.5Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye kushoto na mama Zakhia Megji Katibu wa Uchumi na Fedha wakisoma moja ya magazeti yaliyotoka jana.
10
Wajumbe wa kikoa hicho wakiwa kikaoni jana asubuhi.

No comments:

TANZANIA INA FURSA KUBWA YA KUENDELEZA NISHATI YA JOTOARDHI; WAZIRI NDEJEMBI ALIELEZA BARAZA LA IRENA

📌Asisitiza ushirikiano wa taasisi za kifedha na Jumuiya za Kimataifa hasa katika hatua za utafiti 📌Akaribisha wawekezaji; Asema Serikali i...