KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AZINDUA CHAMA CHA MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI(TAGCO)

1
Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini, (TAGCO), Bw. Innocent Mungy akisoma Taarifa fupi ya Chama hicho kabla ya uzinduzi jana Mjini Mtwara.
2
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa habari Kabla ya Kuzindua Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) ambapo aliwata kuwa na umoja na Mshikamano ili kujijenga na kukiendeleza chama hicho kitakachosaidia kukuza taaluma na weledi katika utendaji wakazi jana Mjini Mtwara.
3
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa chama hicho (kushoto ) ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (kushoto ) kwa Katibu Mkuu ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Innocent Mungy na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bi. Sylvia Lupembe.
Picha na Hassan Silayo

Comments