Mhandisi wa NHC anayesimamia mradi wa nyumba za NHC Mwongozo akizungumza na baadhi ya wanunuzi wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa waliokuwa wakitembelea nyumba zao walizonunua katika mradi huo. Wa kwanza ni Afisa mauzo wa NHC Deo Batakanwa.
Baadhi ya wanunuzi wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa wakitembelea nyumba zao walizonunua katika mradi wa nyumba wa Mwongozo leo asubuhi mbele yao wa kwanza kulia ni Injinia wa NHC anayesimamia mradi huo Elisante Olomi
Baadhi ya nyumba za mradi wa nyumba za NHC Mwongozo zinavyoonekana hivi leo.
Baadhi ya wanunuzi wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa wakitembelea nyumba zao walizonunua katika mradi wa nyumba wa Mwongozo leo asubuhi mbele yao wa kwanza kulia ni Injinia wa NHC anayesimamia mradi huo Elisante Olomi
Baadhi ya wanunuzi wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa wakitembelea nyumba zao walizonunua katika mradi wa nyumba wa Mwongozo leo asubuhi mbele yao wa kwanza kulia ni Injinia wa NHC anayesimamia mradi huo Elisante Olomi
Nyumba za makazi za NHC Eco Residence zinavyoonekana hivi sasa. Nyumba hizo za makazi (units) 118 za mradi ujulikanao kama Eco Residence, uliopo katika eneo tulivu la Hananasif – Kinondoni, Dar es Salaam ni za gharama ya kati na juu zipo Kilomita 6 kutoka katikati ya jiji la Dar es salaam, zikiwa karibu kabisa na maeneo ya Oysterbay, Upanga na Masaki.

Baadhi ya wanunuzi wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa wakitembelea nyumba zao walizonunua katika mradi wa nyumba wa Eco Residence leo.
Afisa Mauzo wa NHC, Julieth Buberwa wa kwanza kulia akizungumza na baadhi ya wanunuzi wa nyumba za makazi za Eco Residence na Mwongozo waliotembelea kuona maendeleo ya miradi hiyo.
Wahandisi wa Mradi wa Eco Residence wakijadiliana jambo wakati wa ziara hiyo ya wanunuzi wa nyumba leo.
No comments:
Post a Comment