MTWARA YAPIGA HATUA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NA SALAMA
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasili mkoani humo kukagua miradi ya maji. (Picha zote na Hussein Makame, MAELEZO)
Mwenyekiti wa kijiji cha Kibaoni kinachohudumiwa na Mradi wa Maji wa Nanyamba, Issa Bakari akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyotembelea kukagua mradi huo.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akipanda ngazi za tanki la maji la mradi wa Maji wa Nanyamba.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akivuka kidaraja kuelekea kukagua tanki lingine la maji la mradi wa Maji wa Nanyamba.
Afisa Mtendaji wa Mamlaka ya Mji wa Nanyamba, akitoa ufafanuzi kuhusu kisima cha mradi wa Maji wa Nanyamba.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akimpongeza mwenyekiti wa Kamati ya Maji ya Mradi wa Maji wa Matogoro Mzee Mwanya Natanga Bwanaheri.
No comments:
Post a Comment