Wednesday, January 21, 2015

PINDA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA RUSSIA

unnamed (38)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni kutoka Russia ya Mantra Tanzania Limited inayokusudia kuwekeza katika Mradi Uranium wa Mto Mkuju, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 21, 2014. Kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)unnamed (37) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu  (kulia)  akiteta na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bibi Tonia  Kandiero baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Dr. Nagu jijini Dar es salaam  Januari 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

UTAFITI MIAMBA BONDE LA EYASI WEMBERE WATHIBITISHA UWEZEKANO WA UPATIKANAJI MAFUTA

📌 *Dkt Mataragio akagua shughuli za utafiti na kutoa maelekezo kwa TPDC/AGS*  📌 *Awamu ya  pili ya utafiti kukamilika Aprili 2026.*   *📌A...