KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA YAJADILI MUSWADA WA SHERIA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA DAWA ZA KULEVYA YA MWAKA 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kwa lengo la kuuboresha muswada huo wakati wa kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kilichofanyika 22/01/2015 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Baadhi ya wajumbe toka Taasisi mbalimbali wakifuatilia kwa makini kikao cha Kamati ya masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kilichofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014.
Baadhi ya wajumbe toka Taasisi mbalimbali wakifuatilia kwa makini kikao cha Kamati ya masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kilichofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO, DSM)
Comments