Mmiliki wa Kiwanda cha Viatu WOISO kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam ,Bw Kenneth Herman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea mafanikio yake alioyapata kupitia shuguli za kushona viatu na kuweza kumiliki Kiwanda cha Viatu na kuwaajili watu zaidi ya 2,50. Kwenye kiwanda hicho (kushoto), Msimazi wa Kiwanda hicho Bi.Teya Herman.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWEBLOG
Wafanyakazi wa kiwanda cha WOISO wakiwa kazini.


No comments:
Post a Comment