Thursday, January 22, 2015

BUNGE LATANZANIA LAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA TEHEMA NA CHINA


Spika wa Bunge la Tanzania,  Anne Makinda (kulia), akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge Balozi wa China hapa Nchini Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA kwenye ofisi ndogo za bunge jijini Dar es Salaam jana Jumatano Januari 21, 2015. Vifaa hivyo vina thamani ya dola za Kimarerkani laki Moja (100,000USD)

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akieleza vifaa vilivyotolewa na Serikali ya China kupitia Ubalozi wake hapa nchini kwa ajili ya kusaidia Bunge kutekeleza majukumu yake

Dkt. LU Youquing akizungumza

Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea kutoka kwa Balozi wa China hapa Nchini  Mhe. Dkt. LU Youquing baadhi ya Vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa serikali ya China kwa ajili ya kusaidia shughuli za Bunge. Vifaa hivyo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani laki moja vimekabidhiwia jana katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Spika jijini Dar es Salaam

Spika wa Bunge Anne Makinda, Balozi wa China hapa Nchini  Dkt. LU Youquing, wabunge na viongozi wengine wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA

No comments: