Tuesday, January 27, 2015

WASANII KIBAO WATUMBUIZA TIGO MUSIC!


Khadija Omari Kopa akiwa na wacheza Show wake kwenye tamasha la Tigo Music, lilifanyika usiku wa Jumamosi ya Jan 24 mwaka huu. Mnenguaji wa Bibiye Khadija Kopa akifanya vitu vyake jukwaani
Mze Bichuka wa Sikinde nae alibichuka vilivyo!
Juma Katundu wa Msondo Ngoma nae akateremsha Msondo wa NGUVU.
Wakirithi mikoba ya Kina Mzee Gurumo na TX Moshi William!
Romario na Totoo ya Moshi, TX JR (kulia).
Mashabiki nao hawakua nyuma ya Pazia, walikaa mbele ya Pazia!
Roman Mng'ande wa Msondo Ngoma Band akiwajibika jukwaani
Wapenzi wa muziki wakiwa wanashangilia mojawapo ya show iliyokuwa ikiendelea uwanjani hapo.
Ebanaeeeeeeee! simchezooo!
Miduduuuuuuuu!

No comments:

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAZEE WA MIKOA YOTE NCHINI, AFUNGUA UKURASA MPYA WA MAZUNGUMZO YA KITAIFA

  Dodoma, Agosti 27, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na wazee wa Mkoa wa Dodoma pam...