Thursday, January 15, 2015

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM

unnamedRais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali
ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao
ni Mhe Adam Malima, naibu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari
katika wodi hiyo.

No comments:

JETOUR G700 YAJITOKEZA KWA UWEZO MKUBWA KWA MAZINGIRA YA AFRIKA

  Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam JETOUR Tanzania imezindua rasmi JETOUR Club pamoja na kutambulisha magari mapya ya JETOUR G700 na F700, i...