Thursday, January 15, 2015

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje Mhe. Edward Lowassa akutana na Balozi wa Marekani nchini

  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiagana Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress baada ya kuwa na mazungumzo walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency, Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiagana Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress baada ya kuwa na mazungumzo walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...