ZIARA YA MH.DR. BINILITH MAHENGE BANDARI YA TANGA

unnamed (2)5Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kulia), akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Magalula Said Magalula (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mzalishaji wa kiwanda cha Tanga Sementi Bw. Ben Lema, jinsi wanavyopima sementi kuangalia ubora wake kabla ya kusambaza kwa watumiaji na jinsi wanavyojitahidi kulinda Mazingira kiwandani hapo.unnamed (1)Sehemu ya Bandari ya Tanga ikionesha kisiwa cha Toten kilichopo Mkoni hapo ambacho kipo hatarini kuzama.unnamed (2)1Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi (kushoto) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga wakielekea kupanda Boti  kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko hatarini kuzama.unnamed (2)3Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (kulia), akikagua Kisiwa cha Toten kilichopo mkoani Tanga.unnamed (2)4Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi akitoa maelezo kwa Waziri wa  Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge,kuhusu umuhimu wa kisiwa hicho. 

Comments