Wednesday, January 21, 2015

RAIS DR. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI KUTOKA UINGEREZA

unnamed (43)Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika jana  katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoawa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu,]
unnamed (39)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano  maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza mkutano huo   uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini  Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja jana,[Picha na Ikulu.]   
unnamed (40)Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua   mkutano  maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza  uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu,]unnamed (41)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano  maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza mkutano huo   uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini  Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja jana,[Picha na Ikulu.]
unnamed (42)Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu,]

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...