Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Zainabu Vullu katika viwanja vya bunge walipohudhuria kikao cha pili cha mkutano wa 18 wa Bunge mjini Dodoma jana.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akielezwa jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika viwanja vya Bunge, mjini Dodoma jana.
Comments