Thursday, January 15, 2015

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA KUTOKA TANZANIA NA NCHI ZA GHUBA (GCC)

unnamed1Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC)  utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam.
unnamed3Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Oman na nchi za Ghuba (GCC)   Saeed Saleh Saeed Al Kiyumi (katikati) akizungumza na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC)  utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh na kushoto ni mkalimani aliyetafsiri maelezo ya mwenyekiti GCC Sudi Ahmed Rawahi.unnamed4Baadhi ya wafanyabiashara waliohudhuria mkutano wa matayarisho wa mkutano wa siku mbili wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC)  utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam.unnamedBalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza akizungumza na  wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC)  kuhusu mkutano utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam.unnamed5unnamed6Baadhi ya wafanyabiashara waliohudhuria mkutano wa matayarisho wa mkutano wa siku mbili wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC)  utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam.unnamed7Baadhi ya wafanyabiashara waliohudhuria mkutano wa matayarisho wa mkutano wa siku mbili wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC)  utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam.

No comments:

TANZANIA INA FURSA KUBWA YA KUENDELEZA NISHATI YA JOTOARDHI; WAZIRI NDEJEMBI ALIELEZA BARAZA LA IRENA

📌Asisitiza ushirikiano wa taasisi za kifedha na Jumuiya za Kimataifa hasa katika hatua za utafiti 📌Akaribisha wawekezaji; Asema Serikali i...