Wednesday, January 21, 2015

MKUTANO WA UPATANISHI WA CHAMA CHA SPLM YA SUDAN KUSINI JIJINI ARUSHA LEO

unnamed (51)Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie  leo Jumatano
Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini
makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini
katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu Rais wa Afrika Kusini,  Mhe
Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Kikwete, Rais
Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt Riek Machar,
unnamed (48) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
leo Jumatano Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji
saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani
Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.
unnamed (49) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Yoweri Museveni  leo
Jumatano Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini
makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini
katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.
unnamed (52)Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na viongozi wenzie  leo Jumatano
Januray 21, 2015 kuelekea kwenye chumba cha mkutano kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini
makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini
katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu Rais wa Afrika Kusini,  Mhe
Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Kikwete, Rais
Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt Riek Machar,
unnamed (50)Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Mwenyekiti wa
Zamani wa SPLM Mama Rebecca Nyandeng Garang de Mabior leo Jumatano

No comments: