MAAFISA MAWASILIANO WATEMBELEA MRADI WA KUCHAKATA GESI WA TANZANIA MNAZI BAY NA KUTOA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA LIGULA

unnamedMkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham Gwao walipotembelea Hospitalini hapo leo.
unnamed1Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham Gwao walipotembelea Hospitalini hapo leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy.
unnamed2Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akitembeea katika eneo la mradi wa nyumba za wafanyakazi wa Mradi wa kuchakata Gesi Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant wakati wa ziara ya Maafisa Mawasiliano Serikalini leo Mkoani Mtwara. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAEEZO Bibi. Zamaradi Kawawa na Mkuu wa Kitengo Serikalini wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud(katikati).
unnamed3Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga(katikati) akitembelea katika katika eneo la Mradi wa kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant wakati wa ziara ya Maafisa Mawasilano Serikalini katika eneo a mradi huo leo Mkoani Mtwara

Comments