Wednesday, September 17, 2014

KINANA AWASEMA UKWELI VIONGOZI WA CCM MAFIA

 Umati wa wananchi wa Mafia wakimsikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananchi hao.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano badala yake wafanye shughuli za maendeleo kwanza.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia.
Naibu Waziri Nishati Charles Kitwanga akihutubia wakazi wa Mafia ambapo aliwaambia Mafia ndio wilaya pekee itakayopata Umeme kwa asilimia 100%.

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...