Friday, September 26, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI YAFANYIKA ZANZIBAR

DSC_0033[1]Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein mwenye tai nyekundu akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa wa Mamlaka ya kusimamiaUvuviwa Bahari kuu Tanzania Zahor Kassim Mohammed akielezea maswali mbalimbali kuhusiana na Usimamizi wa Uvuvi baharini katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.DSC_0056[1]Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Kapten Ally Machano kuhusiana na uwakaji wa maboya yanayotumia Umeme wa Jua katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.DSC_0061[1]Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kulia akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Kapten Ally Machano kuhusiana na uwakaji wa Maboya ya Zamani katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.DSC_0082[1]Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Kamanda Mkuu wa Boti KMKM Luten Hassan Ali Makame kuhusiana na namna wanavyokabiliana na matukio mbalimbali ya baharini katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...