WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MADAKTARI WA KUJITOLEA TOKA UJERUMANI

PG4A6530[1]Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu  Pinda akiwa amepiga magoti wakati alipowasalimia wakwe baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri Mkuu, Kibaoni mkoani Katavi  Septemba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A6906_1[1]
PG4A6912_1[1]Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari  kutoka Ujerumani ambao wako kwa muda katika Hospitali ya Kristo Mfalme ya Mjini Sumbawanha ambayo inamilikiwa na Kanisa Katoliki. Madaktari hao wa kujitolea wanatibu magonjwa mbalimbali na kufanya upasuaji bure hospitalini hapo.  Kulia ni Askofu wa jimbo la Sumbawanga, Damian Kyaruzi.Mheshimiwa Pinda alifanya ziara hospitalini hapo Septemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A6953[1] Waziri Mkuu, Mizengo Pinda   na mkewe Tunu (wapili kushoto) wakizungumza na baadhi ya wagonjwa katika hospitali ya Kristo Mfalme ya mjini Sumbawanga Septemba 21, 2014. Mheshimiwa Pinda alikwenda  hospitalini hapo kuzungumza na maktari wa kujitolea kutoka ujerumani ambao wapo hospitalini hapo wakitoa na matibabu  na kufanya upasuaji bure. Kushoto ni Askofu wa Jimbo la Sumbawanga,Damian Kyaruzi. Hospitali hiyo inamilikiwa na Kanisa Kaoliki jimbo la Sumbawanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments