TWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR

 Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), akiwa na Kalala Junior (wa pili kutoka kushoto) pamoja na  Haji Ramadhani (wa kwanza kulia) wakitoa burudani kwa mashabiki wao kwenye shoo iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar 
 Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo.
 Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.
Wadau wakiwa kwenye picha ya pamoja

Comments