Skip to main content
RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mark Childress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Comments