Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , Anna Abdallah (kushoto) na Ave maria Semakafu wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Haidar Madeweyya wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Pindi Chana wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments