Friday, September 26, 2014

MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA UN WA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA WASICHANA KIFEDHA

IMG_2587Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Kim Simplis Barrow, Mke wa Waziri Mkuu wa Belize na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Wanawake na Watoto. Mama Barrow kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa ndio walioandaa mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi kuzungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha na “First Ladies Global Call to Action Conference on Women and Girls’ Financial Health.” Tarehe 25 Septemba,2014.PICHA NA JOHN  LUKUWIIMG_2605Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Joyce Banda, Rais Mstaafu  wa Malawi muda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi ulizungumzia namna ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York tarehe 25.9.2014.IMG_2632Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Sera na Mipango katika Umoja wa Mataifa Bwana John Hendra. Bwana Hendra aliwahi kuwa Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania wakati wa mkutano wa kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha uliofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York tarehe 25.9.2014.IMG_2645Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika Mkutano wa kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha ulioandaliwa na Mke wa Waziri Mkuu wa Belize Mama Kim Barrow akishirikiana na Umoja wa Mataifa. Kushoto kwa Mama Salma ni Mke wa Rais wa Suriname Mama Lisbeth Venetiaan      na kulia ni Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Ndugu Tuvako Manongi.
IMG_2668Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kwenye mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa uliozungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York Marekani tarehe 25.9.2014.IMG_2674Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kwenye mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa uliozungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York Marekani tarehe 25.9.2014.IMG_2682Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kwenye mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa uliozungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York Marekani tarehe 25.9.2014.IMG_2703Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na Mama Joyce Banda (kushoto) na wa kwanza kulia ni Mama Dianne Stewart, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Uhusiano wa Shirika la United Nations Populations Fund akifuatiwa na Bi Mpule Kwelagobe, Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa MPULE Institute for Indogenous Development.IMG_2713Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa. Kutoka kushoto ni Mama Kim Barrow, Mke wa Waziri Mkuu wa Belize, Mama Joyce Banda na wa kwanza kushoto ni Mama Dianne Stewart.IMG_2718Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa. Kutoka kushoto ni Mama Kim Barrow, Mke wa Waziri Mkuu wa Belize, Mama Joyce Banda na wa kwanza kushoto ni Mama Dianne Stewart.

No comments: