Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Stephen Werema akisoma taarifa ya Mahakama Kuu ndani ya Bunge Maalum la Katiba leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakichangia hoja za Kamati zao mbalimbali ndani ya Bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Anne Makinda (kushoto) akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd ndani ya Bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wazri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara (kushoto) na Naibu wake, Mhe. Juma Nkamia wakijadiliana ndani ya bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Mark Mwandosya (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzie ndani ya bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Asha-Rose Migiro (kushoto) akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Stephen Werema ndani ya bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) akifuatilia hoja zikizoendelea kuwasilishwa Bungeni hapo. Kulia nia mjumbe mwenzie, Mhe. Stella Manyanya.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Mary Nagu (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzie, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ndani ya bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Asha-Rose Migiro (kulia) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa bunge hilo, Mhe. Angellah Kairuki ndani ya bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Augustino Mrema (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa bunge hilo, Mhe. Sophia Simba ndani ya bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe wakiwa ndani ya Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa hoja toka katika Kamati mbalimbali bungeni hapo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Comments