MKE WA WAZIRI MKUU, MAMA TUNU PINDA AKIZUNGUMZA WAKATI ALIPOFUNGUA MFUKO WA CCM MSHIKAMANO NA VICOBA
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipozindua Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Septemba 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) akifurahia zawadi ya kitenge alichokabidhiwa na Rais wa VOCOBA nchini , Devota Likokola (kuahoto) kwa niaba ya wanachama wa Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA katika uzinduzi wa mfuko huo kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Septemba 25, 2014. Katikati ni Naima Malima, mke wa Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments