Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza jana, Septemba 26, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya viongozi. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza Kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza jana, Septemba 26, 2014. Kuhoto kwake ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya viongozi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala Ufundi wa Umeme-TEMESA, Eng. Mseline Magesa, wakati alipokuwa akikagua Kivuko cha Tegemeo baada ya kukizindua rasmi jana Septemba 26, 2014 kwa ajili ya kuanza kazi ya kusafirisha abiria na mizigo kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wakati akikagua Kivuko hicho. Picha na OMR
Comments