Thursday, September 03, 2015

VYOMBO VYA HABARI VYATAKIWA KUCHOCHEA MAENDELEO ENDELEVU ILI KUFIKIA MABADILIKO CHANYA

  Afisa wa Takwimu wa  Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS),Emilian Karugendo akizungumza na waandishi habari katika warsha ya kuelekea malengo 17 ya Maendeleo Endelevu iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
 Afisa wa Ofisi ya Rais-Tume ya Mipango Lorah Madete akizungumza na waandishi wa habari juu ya jinsi ya mipango inavyotekelezwa na serikali katika kuelekea malengo 17 ya maendeleo endelevu iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
 Mhadhiri wa Shule kuu ya uandishi wa habari, DkAyuob Rioba akizungumza na waandishi wa habari juu ya jinsi ya nafasi ya vyombo vya habari katika kushiriki katika malengo 17 ya maendeleo endelevu iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Post a Comment