Thursday, September 03, 2015

UKAWA KUWANUFAISHA WAKULIMA WA KOROSHO NA UFUTA MIKOA YA KUSINI

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwasili katika jimbo la Mtama katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Lindi ambapo katika hoyuba yake aliwaambia wananchi wa mkoa wa Lindi kuwa endapo serikali ya Ukawa itaingia madarakani itaboresha bei ya ufuta na korosho ili kuwanufaisha wakulima wa zao hilo. (Picha na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Habib Mnyaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mbunge wa Lindi mjini akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Tunausapoti Ukawa.....
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, John Guninita akizungumza wakati wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi. 
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mfuasi wa Ukawa wakati alipowasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi. 
Wafuasi wa Ukawa wakishangilia.

Post a Comment