Saturday, September 05, 2015

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI

x2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea barua kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi iliyowasilishwa kwake na Mjumbe maalum Mhe.Eliseu Joachim Machava ambaye pia ni katibu Mkuu wa Chama Cha FRELIMO ikulu jijini Dar es Salaam Septemba 4, 2015 .Baadaye viongozi hao wawili walifanya mazungumzo.
(Picha na Freddy Maro)
x3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akifanya mazungumzo na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi ikulu jijini Dar es Salaam Septemba 4, 2015 .

No comments:

TUZINGATIE UTU, SHERIA NA HAKI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA ULINZI WA RASILIMALI ZA TAIFA- DKT KIJAJI

  Na. Joyce Ndunguru, Morogoro. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa W...