Monday, September 14, 2015

MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI

 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza muda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi jana. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM.
 Wananchi akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan jana katika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi
 Katibu wa NEC, Itkadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akimkaribisha jukwaani, Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa
Lindi mjini, Maarufu kwa jina la Bwege, wakati alipoamua  kutangaza kuhamia CCM, katika
mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi
jana. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM.
 Shamrashamra zikirindima wakati Nape akimtangaza Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa
Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika
mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi
jana. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM.
 Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni za CCM aliofanya katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi jana.
Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa NEC, Lindi Mjini Mama Salma Kikwete wakiwasalimia wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini, aliyekuwa Mpigadebe Mkuu wa CUF, Lindi Mjini, Mohammed Omari baada ya kutangaza kuhamia CCM jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi
Post a Comment