Tuesday, September 08, 2015

LOWASSA AFANYA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI DAR ES SALAAM


Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa amejichora rangi za bendera ya Chama hicho, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi Mpya ya Mabasi, Mbezi Mwisho, Jimbo la Kibamba, Jijini Dar es salaam jana Septemba 7, 2015.

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiambatana na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe wakiwasalimia wananchi wa Jimbo la Kibamba, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi Mpya ya Mabasi, Mbezi Mwisho, Jijini Dar es salaam jana Septemba 7, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea wa Ukawa wa Ubunge Jimbo la Kibamba, Mh. John Mnyika,  uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi Mpya ya Mabasi, Mbezi Mwisho, Jimbo la Kibamba, Jijini Dar es salaam jana  Septemba 7, 2015.
Sehemu ya Umati wa wakazi wa Jimbo la Kibamba, Jijini Dar es salaam wakionyesha ishara ya Mabadiliko.
Post a Comment