Saturday, September 05, 2015

HAPA KAZI TU YA MAGUFULI YAMFIKISHA MAMA SAMIA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika eneo la Msasani jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakimshangilia mgombea ,wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, alipohutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam, leo
Mgobea Ubunge jimbo la Mtera na Mjume wa NEC, Livingstone Lusinde akihutubia mkutano wa kampni w Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, uliofanyika leo sasani jimbola Kawe jijini Dar es Salaam.
Mdhanini wa mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Anna Abdallah, akihutubia mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, uliofanyika jimbo la Kawe Dar es Salaam.
Lusinde akizungumza na Mbunge wa Afrika Mashariki Angela Kizigha, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salam
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Katiba, Samwel Sitta akihutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan akiwa na Mzee Sitta na Mgombea Ubunge jimbo la Kawe wa tikati ya CCM, Kippi Warioba, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyikaleo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam, leo
Vijana wa CCM, wakionyesha furaha zao, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni ulifanyika leo katika jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, Dk. Didas Masaburi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam.
Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo Dk. Didas Masaburi akiomba kura kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam.
Vijana wa hamasa wakiwa katika shamrashamra wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam
Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni, Iddi Azan akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimwelekeza jambo Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCm katika Jimbo la Kinondoni, Iddi Azan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni Dar es Salaam
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni Dar es Salaam
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, akihutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni Dar es Salaam
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kinondoni Dar es Salaam
Wananchi wakimuaga Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Damia Suluhu Hassan baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kwa Kopa, Mwananyamala, jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Post a Comment