ARAWAY GROUP TANZANIA
MZEE WA MSHITU
Monday, January 05, 2015
MATUKIO YA PICHA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA POLISI MBWENI ZANZIBAR
Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akifungua kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Vijana wadogo kutoka katika kituo cha Nyerere Shaolin Group wakionyesha umahiri wa kuweza kupambana na uhalifu katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar akitoa maelezo kuhusiana na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Katibu Mkuu Wizara ya mambo yandani Mbaraka Abdullwakili akitoa hotuba na kumkaribisha mgeni rasmi katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akitoa hotuba katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Katibu Mkuu Wizara ya mambo yandani Mbaraka Abdullwakili na kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar.
Naibu Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Haji Mwadini Makame katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Jeshi la Polisi katika Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Kituo cha Polisi mbweni nje ya mji wa Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MAPOKEZI YA KISHINDO KWA WAGOMBEA WA CCM JIJINI DODOMA!
Dodoma, 09 Agosti 2025 — Umati m...
JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
TAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014 HAPA!
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
Mbilia Bell akifanya mambozz Dom
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
No comments:
Post a Comment