Hili lilisha peleka mzigio sasa linarudi.
Lori kubwa mizigo likipita katia daraja la Sirali, Kata ya Kivule Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam jana huku daraja hilo likiwa bovu na endapo lisipo fanyiwa matengenezo mapema linaweza kusababisha maafa au kukata kwa mawasiliano katika eneo hilo.
Magari ya mizigo yanayopita njia hiyo ni mengi kutokana na mahitaji ya bidhaa wanazopeleka.
Magari madogo yakipita katika daraja hilo lililopo mto Mzinga. Jitihada za haraka zinahitajika kulikarabati daraja hilo kabla ya wanachi hao kukosa mawasiliano ya barabara pindi mvua zitakapo anza kunyesha baadae mwaka huu.
No comments:
Post a Comment