Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Msoma Utenzi Amina Mohamed Waziri wakati wa ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment