Wednesday, April 16, 2014

Rais Kikwete Akutana na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Greg Baker, Afungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) Dar

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa  Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam jana April 15, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Waziri wa  Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam jana April 15, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam jana April 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) baada ya kulifungua  katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam jana April 15, 2014.Picha na IKULU

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...