Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim
Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba
huo Ubungo Makuburi jioni jana, siku ambayo marehemu
alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pole Bw. Abdallah Muhidin Gurumo, mtoto wa
marehemu Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba
huo Ubungo Makuburi jioni ya jana,
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Bw. Omar Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia
alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya jana,
Sehemu ya waombolezaji
Mmoja wa wana familia Bw. Salim Zagar akitoa taarifa fupi ya msiba pamoja na mazishi kwa Mhe Rais
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Muziki wa dansi Bwana Brighton akimshukuru Rais Kikwete kwa kwenda kutoa pole ya msiba huo
Comments