Friday, April 11, 2014

HEBU JIONEE MWENYEWE JINSI MGAMBO WA OPERESHENI SAFISHA JIJI WALIVYOVUNJA MAKABURI YA SHEIKH YAHYA NA SHEIKH KASSIM

 Mgambo wa jiji LEO wanaoendelea na Operesheni ya safisha jiji kwa kuwaondoa wafanyabiasha wadogo na wauza magazeti katika maeneo yasiyo rasmi, muda huu wamevamia makaburi ya Sheikh Kasim Bin Juma na Sheikh Yahya Hussein, yaliyopo eneo la makaburi ya Tambaza jirani na Muhimbili na kuyavunja.  Haikuweza kufahamika haraka kuwa makaburi hayo ni miongoni mwa uchafu wanaoshugulikia kuuondoa ama vipi.
  Baadhi ya wananchi ndugu na jamaa wa marehemu waliolala kwenye makaburi hayo waliofika kushuhudia mgambo hao wasiotaka kusikia la mtu.
 
 Paa la moja ya jengo lililobomolewa.
 Mwandishi wa Itv, Godfrey Monyo, akiwa eneo la tukio.
 Mapaa yote yaliyoongezwa katika majengo yalibomolewa.
 Hali ya baadhi ya majengo katikati ya mji ni kama hivi.

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...