Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ziana Mohamed Haji Aanguka Ghafla Bungeni Mjini Dodoma

 Wauguzi na Waganga wa Zahanati ya Bunge mjini Dodoma wakitoa msaada wa huduma ya kwanza na kufanya maandalizi ya kumpeleka Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ziana Mohamed Haji katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada ya kupata matatizo ya  mshutuko.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambapo pia ni Ndugu na Jamaa wa Mjumbe wa Bunge hilo Ziana Mohamed Haji wakijadiliana na watendaji wa Bunge hilo jinsi ya kumsaidia baada ya kupata matatizo ya mshutuko leo mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge Maalum la Katiba

Comments